Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 4:27-28

Yeremia 4:27-28 NEN

Hivi ndivyo BWANA asemavyo: “Nchi yote itaharibiwa, ingawa sitaiangamiza kabisa. Kwa hiyo dunia itaomboleza na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, nimeamua na wala sitageuka.”

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha