Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:38-40

Yeremia 23:38-40 NEN

Ingawa unadai, ‘Huu ndio mzigo wa BWANA,’ hili ndilo BWANA asemalo: Ulitumia maneno, ‘Huu ndio mzigo wa BWANA,’ hata ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni mzigo wa BWANA.’ Kwa hiyo, hakika nitakusahau na kukutupa mbali na uso wangu pamoja na mji niliowapa ninyi na baba zenu. Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu: yaani aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 23:38-40

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha