Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:3-4

Isaya 40:3-4 NEN

Sauti ya mtu aliaye: “Itengenezeni jangwani njia ya BWANA, nyoosheni njia kuu nyikani kwa ajili ya Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyooshwa, napo palipoparuza patasawazishwa.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha