Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:18-21

Wakolosai 3:18-21 NEN

Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana. Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana. Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:18-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha