Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:29-30

1 Wafalme 6:29-30 NEN

Juu ya kuta zote zilizozunguka Hekalu, za vyumba vya ndani na vya nje, zilipambwa kwa nakshi zilizokatwa za makerubi, miti ya mitende na maua yaliyochanua. Pia alifunika sakafu zote za vyumba vya ndani na vya nje vya Hekalu kwa dhahabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha