Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 12:27-28

1 Wakorintho 12:27-28 NEN

Sasa ninyi ni mwili wa Kristo na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili. Mungu ameweka katika kanisa, kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu, kisha watenda miujiza, pia karama za kuponya, karama za kusaidiana, karama za uongozi, aina mbalimbali za lugha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 12:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha