Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Kutoka 1-18

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Kutoka 1-18, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Kutoka, Mungu anawaokoa Waisraeli kutoka utumwani katika nchi ya Misri na anakabiliana na uovu na udhalimu wa Farao. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha