Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Kumbukumbu la Torati

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Kumbukumbu la Torati, Musa anatoa maneno ya mwisho ya hekima na onyo kabla Waisraeli hawajaingia katika nchi ya ahadi, akiwapa changamoto wawe waaminifu kwa Mungu. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha