Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo Sura ya 21-28

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Katika video ya mwisho katika mfululizo wetu wa Matendo, tunafuatilia safari ya mwisho ya Paulo kuelekea Yerusalemu na kisha kuenda kwenye gereza la Rumi. Lakini kinaya ni kwamba, mateso ya Paulo yanampeleka katika himaya ya Rumi ambapo anatangazia mataifa Ufalme wa Mungu. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha