Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo Sura ya 13-20

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Je, ilikuwaje kwa mtume Paulo kusafiri Himaya ya Rumi akitangaza habari njema kuhusu Yesu aliyefufuka? Je, ni nini kilichomchochea kuanzisha jumuia mpya za Yesu ndani ya mji mmoja hadi mwingine na je, watu waliuitikia vipi ujumbe wake? Katika video yetu ya tatu kuhusu kitabu cha matendo, tutaangazia haya yote na zaidi! https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha