Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo Sura ya 1-7

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Kitabu cha Matendo kinaonyesha jinsi Mungu alivyotimiza ahadi zake za zamani za kurejesha baraka Yake kwa mataifa yote kupitia mtoto wa Abrahamu: Yesu wa Nazareti. Katika video hii, tutaangazia jinsi Yesu na Roho walivyowafanya upya watu wa Israeli na kuwatayarisha kutangaza habari njema kwa mataifa. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha