Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka Sura ya 24

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Video hii inahitimisha taswira ya kishujaa ya Luka kumhusu Yesu wa Nazareti. Wanafunzi wanakutana na kaburi tupu na mtazamo wao wa maisha na ulimwengu unapinduliwa juu chini wanapokutana na Yesu aliyefufuka. Luka anaonyesha jinsi utume wa ufalme wa Mungu alioufanya Yesu unafikia tamati na kuandaa mazingira ya muendelezo wake katika toleo la pili la Luka, Matendo. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha