Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Muhtasari: Luka 1-9

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Luka 1-9, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Luka, Yesu anaifikisha simulizi ya agano kati ya Mungu na Israeli katika kilele chake na anatangaza habari njema ya ufalme wa Mungu kwa maskini na matajiri. https://bibleproject.com/Swahili/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha