Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tusome Biblia Pamoja (Juni)

Tusome Biblia Pamoja (Juni)

30 Siku

Sehemu ya 6 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu huongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine kujiunga kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na la Kale, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote kote. Sehemu ya 6 inajumuisha vitabu vya Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, Yonah, Waamuzi, Ruthu na Samweli wa kwanza.

Mpango huu uliundwa na LifeChurch.tv.
Kuhusu Mchapishaji

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha