Ruthu 2:1
Ruthu 2:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi huyo Naomi alikuwa na ndugu ya mumewe, mtu mkuu mwenye mali, wa jamaa yake Elimeleki, na jina lake aliitwa Boazi.
Shirikisha
Soma Ruthu 2Ruthu 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri.
Shirikisha
Soma Ruthu 2