Waroma 8:9
Waroma 8:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi hamuishi kufuatana na matakwa ya mwili, bali kufuatana na matakwa ya Roho, ikiwa Roho wa Mungu anaishi ndani yenu. Yeyote asiye na Roho wa Kristo, huyo si wake Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
Shirikisha
Soma Waroma 8