Waroma 8:30
Waroma 8:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wale ambao Mungu aliwateua ndio hao aliowaita; na hao aliowaita ndio hao aliowafanya kuwa waadilifu na hao aliowafanya waadilifu ndio hao aliowashirikisha pia utukufu wake.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.
Shirikisha
Soma Waroma 8