Waroma 8:18-19
Waroma 8:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Naona kuwa mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyalinganisha na ule utukufu utakaodhihirishwa kwetu. Viumbe vyote vinangojea kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu. Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu. Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8