Waroma 10:16-17
Waroma 10:16-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini si wote walioitii ile habari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu? Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?” Hivyo basi, imani inatokana na kuusikia ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini si wote walioitii ile Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu? Basi imani, hutokana na kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 10