Ufunuo 19:9
Ufunuo 19:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha malaika akaniambia, “Andika haya: Heri wale walioalikwa kwenye karamu ya harusi ya Mwanakondoo!” Tena akaniambia, “Hayo ni maneno ya kweli ya Mungu.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akaniambia, Andika, Heri walioalikwa katika karamu ya arusi ya Mwana-kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni maneno ya kweli ya Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19