Ufunuo 19:12
Ufunuo 19:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Macho yake ni kama mwali wa moto, na alikuwa amevaa taji nyingi kichwani. Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na macho yake yalikuwa kama muali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19