Zaburi 65:3-4
Zaburi 65:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunapolemewa na makosa yetu, wewe mwenyewe watusamehe. Heri wale unaowachagua na kuwaleta karibu, waishi katika maskani yako. Sisi tutatoshelezwa na mema ya nyumba yako; mema ya hekalu lako takatifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 65Zaburi 65:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tutakapozidiwa na matendo maovu Wewe utatuondolea uovu wetu. Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 65