Zaburi 17:9-10
Zaburi 17:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
mbali na mashambulio ya waovu, mbali na maadui zangu hatari wanaonizunguka. Hao hawana huruma yoyote moyoni; wamejaa maneno ya kujigamba.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wasinione wasio haki wanaonionea, Adui za roho yangu wanaonizunguka. Wamejawa na ukaidi, Kwa vinywa vyao wanajigamba.
Shirikisha
Soma Zaburi 17