Zaburi 17:7-8
Zaburi 17:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako. Unilinde kama mboni ya jicho; unifiche kivulini mwa mabawa yako
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao. Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako
Shirikisha
Soma Zaburi 17