Zaburi 119:71-72
Zaburi 119:71-72 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimefaidika kutokana na taabu yangu, maana imenifanya nijifunze masharti yako. Sheria uliyoweka ni bora kwangu, kuliko mali zote za dunia.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:71-72 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ilikuwa vema kwangu kuwa niliteswa, Nipate kujifunza amri zako. Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu, Kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.
Shirikisha
Soma Zaburi 119