Zaburi 119:65-67
Zaburi 119:65-67 Biblia Habari Njema (BHN)
Umenitendea vema mimi mtumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Mwenyezi-Mungu. Unifundishe akili na maarifa, maana nina imani sana na amri zako. Kabla ya kuniadhibu nilikuwa nikikosea, lakini sasa nashika neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:65-67 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umemtendea mtumishi wako mema, Ee BWANA, sawasawa na neno lako. Unifundishe akili na maarifa, Maana nimeyaamini maagizo yako. Kabla sijateswa mimi nilipotea, Lakini sasa nimelitii neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119