Zaburi 119:52-54
Zaburi 119:52-54 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninapoyakumbuka maagizo yako ya tangu kale, nafarijika, ee Mwenyezi-Mungu. Nashikwa na hasira kali, nionapo waovu wakivunja sheria yako. Masharti yako yamekuwa wimbo wangu, nikiwa huku ugenini.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:52-54 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninapozikumbuka hukumu zako za tangu kale, Ee BWANA, ninafarijika. Ghadhabu kuu imenishika kwa sababu ya wasio haki, Waiachao sheria yako. Amri zako zimekuwa nyimbo zangu, Katika nyumba yangu ya ugenini.
Shirikisha
Soma Zaburi 119