Zaburi 119:49-50
Zaburi 119:49-50 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukumbuke ahadi yako kwangu mimi mtumishi wako, ahadi ambayo imenipa matumaini. Hata niwapo taabuni napata kitulizo, maana ahadi yako yanipa uhai.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:49-50 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Ambalo kwalo umenipa tumaini. Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenipa moyo.
Shirikisha
Soma Zaburi 119