Zaburi 119:38-40
Zaburi 119:38-40 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitimizie mimi mtumishi wako ahadi yako; ahadi unayowapa wale wanaokuheshimu. Uniokoe na lawama ninazoogopa; maana maagizo yako ni mema. Natamani sana kuzitii kanuni zako; unijalie uhai maana wewe ni mwadilifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:38-40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umthibitishie mtumishi wako ahadi yako, Iliyo ya wanaokucha. Uniondolee laumu niiogopayo, Maana hukumu zako ni njema. Tazama, nimeyatamani mausia yako, Unihuishe kwa haki yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119