Zaburi 119:36-37
Zaburi 119:36-37 Biblia Habari Njema (BHN)
Unipe ari ya kuzingatia maamuzi yako, na si kwa ajili ya kupata faida isiyofaa. Uniepushe, nisifuate mambo ya upuuzi; unioneshe njia yako, unipe uhai.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:36-37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Unielekeze moyo wangu katika shuhuda zako, Wala usiielekee tamaa. Unigeuze macho yangu nisitazame visivyofaa, Unihuishe katika njia yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119