Zaburi 119:30-32
Zaburi 119:30-32 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimechagua njia ya uaminifu; nimezingatia maagizo yako. Nazingatia maamuzi yako, ee Mwenyezi-Mungu; usikubali niaibishwe! Nitafuata maelekezo ya amri zako, maana unanipa maarifa zaidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:30-32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeichagua njia ya uaminifu, Na kuziweka hukumu zako mbele yangu. Nimeambatana na shuhuda zako, Ee BWANA, usiniaibishe. Nitakwenda mbio katika njia ya maagizo yako, Utakaponipanulia ufahamu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119