Zaburi 119:3-4
Zaburi 119:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima hufuata njia zake. Ee Mungu, umetupatia kanuni zako ili tuzishike kwa uaminifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake. Wewe umetuamuru mausia yako, Ili sisi tuyatii sana.
Shirikisha
Soma Zaburi 119