Zaburi 119:28-29
Zaburi 119:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Niko hoi kwa uchungu; unirudishie nguvu kama ulivyoahidi. Uniepushe na njia za upotovu; unifundishe kwa wema sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi yangu imeyeyuka kwa huzuni, Unitie nguvu sawasawa na neno lako. Uniondolee njia ya uongo, Unineemeshe kwa sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119