Zaburi 119:23-24
Zaburi 119:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata kama wakuu wanakula njama dhidi yangu; mimi mtumishi wako nitayatafakari maamuzi yako. Masharti yako ni furaha yangu; hayo ni washauri wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakuu nao waliketi wakaninena, Lakini mtumishi wako atazitafakari amri zako. Shuhuda zako nazo ndizo furaha yangu, Na washauri wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119