Zaburi 119:22-24
Zaburi 119:22-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Uniepushe na matusi na madharau yao, maana nimeyazingatia maamuzi yako. Hata kama wakuu wanakula njama dhidi yangu; mimi mtumishi wako nitayatafakari maamuzi yako. Masharti yako ni furaha yangu; hayo ni washauri wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:22-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uniondolee laumu na dharau, Kwa maana nimezishika shuhuda zako. Wakuu nao waliketi wakaninena, Lakini mtumishi wako atazitafakari amri zako. Shuhuda zako nazo ndizo furaha yangu, Na washauri wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119