Zaburi 119:21-22
Zaburi 119:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe wawakemea wenye kiburi, walaanifu, ambao wanakiuka amri zako. Uniepushe na matusi na madharau yao, maana nimeyazingatia maamuzi yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umewakemea wenye kiburi, Wamelaaniwa waendao mbali na maagizo yako. Uniondolee laumu na dharau, Kwa maana nimezishika shuhuda zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119