Zaburi 119:19-20
Zaburi 119:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni mkimbizi tu hapa duniani; usinifiche amri zako. Roho yangu yaugua kwa hamu kubwa ya kutaka kujua daima maagizo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ni mgeni katika nchi, Usinifiche maagizo yako. Roho yangu imepondeka kwa kutamani Hukumu zako kila wakati.
Shirikisha
Soma Zaburi 119