Zaburi 119:171-173
Zaburi 119:171-173 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitasema sifa zako mfululizo, maana wanifundisha masharti yako. Nitaimba juu ya neno lako, maana amri zako zote ni za haki. Uwe daima tayari kunisaidia, maana nimeamua kufuata kanuni zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:171-173 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Midomo yangu na itoe sifa, Kwa kuwa unanifundisha mausia yako. Ulimi wangu na uiimbe ahadi yako, Maana maagizo yako yote ni ya haki. Mkono wako na uwe tayari kunisaidia, Maana nimeyachagua mausia yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119