Zaburi 119:17-19
Zaburi 119:17-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitendee mimi mtumishi wako kwa ukarimu, nipate kuishi na kushika neno lako. Uyafumbue macho yangu, niyaone maajabu ya sheria yako. Mimi ni mkimbizi tu hapa duniani; usinifiche amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:17-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtendee mtumishi wako ukarimu, Nipate kuishi, nami nitalitii neno lako. Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako. Mimi ni mgeni katika nchi, Usinifiche maagizo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119