Zaburi 119:17-18
Zaburi 119:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Unitendee mimi mtumishi wako kwa ukarimu, nipate kuishi na kushika neno lako. Uyafumbue macho yangu, niyaone maajabu ya sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtendee mtumishi wako ukarimu, Nipate kuishi, nami nitalitii neno lako. Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119