Zaburi 119:159-160
Zaburi 119:159-160 Biblia Habari Njema (BHN)
Tazama, ee Mungu, ninavyozipenda kanuni zako! Unijalie uhai kadiri ya fadhili zako. Kitovu cha neno lako ni ukweli, maagizo yako yote adili, yadumu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:159-160 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na fadhili zako. Jumla ya neno lako ni kweli, Na kila hukumu ya haki yako ni ya milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 119