Zaburi 119:153-155
Zaburi 119:153-155 Biblia Habari Njema (BHN)
Uangalie mateso yangu, uniokoe, kwa maana sikuisahau sheria yako. Unitetee na kunikomboa; unijalie uhai kama ulivyoahidi. Waovu hawataokolewa kamwe, maana hawajali juu ya masharti yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:153-155 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uyaangalie mateso yangu, uniokoe, Maana sikuisahau sheria yako. Unitetee na kunikomboa, Unihuishe sawasawa na ahadi yako. Wokovu u mbali na wasio haki, Kwa maana hawajifunzi amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119