Zaburi 119:15-16
Zaburi 119:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Nazitafakari kanuni zako, na kuzizingatia njia zako. Nayafurahia masharti yako; sitalisahau neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitayatafakari maagizo yako, Na kuziangalia njia zako. Nitajifurahisha sana kwa amri zako, Sitalisahau neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119