Zaburi 119:134-136
Zaburi 119:134-136 Biblia Habari Njema (BHN)
Unikomboe kutoka udhalimu wa binadamu, ili nipate kuzishika kanuni zako. Uniangazie uso wako kwa wema, unifundishe masharti yako. Macho yangu yabubujika machozi kama mto, kwa sababu watu hawaishiki sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:134-136 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Unikomboe kutoka kwa dhuluma ya mwanadamu, Nipate kuyashika mausia yako. Umwangazie mtumishi wako uso wako, Na kunifundisha amri zako. Macho yangu yachuruzika mito ya machozi, Kwa sababu hawaitii sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119