Zaburi 119:121-122
Zaburi 119:121-122 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimefanya mambo mema na adili; usiniache makuchani mwa maadui zangu. Uahidi kunisaidia mimi mtumishi wako; usikubali wenye kiburi wanidhulumu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:121-122 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimefanya hukumu na haki, Usiniache mikononi mwao wanaonionea. Uwe mdhamini wa mtumishi wako, apate mema, Wenye kiburi wasinionee.
Shirikisha
Soma Zaburi 119