Zaburi 119:107-109
Zaburi 119:107-109 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, ninateseka mno; unijalie uhai kama ulivyoahidi. Ee Mwenyezi-Mungu, upokee sala yangu ya shukrani; na kunifundisha maagizo yako. Maisha yangu yamo hatarini daima, lakini siisahau sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:107-109 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeteswa mno; Ee BWANA, unihuishe sawasawa na neno lako. Ee BWANA, uziridhie sadaka za kinywa changu, Na kunifundisha hukumu zako. Nafsi yangu imo mkononi mwangu daima, Lakini sheria yako sikuisahau.
Shirikisha
Soma Zaburi 119