Zaburi 119:1-2
Zaburi 119:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu. Heri wanaozingatia matakwa yake, wanaomtafuta kwa moyo wao wote
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119