Methali 31:8-9
Methali 31:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe, lazima useme kwa ajili ya wote walio bubu; na kutetea haki za wote wasiojiweza. Sema kwa ajili yao na kuamua kwa haki, linda haki za maskini na fukara.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao; Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.
Shirikisha
Soma Methali 31