Methali 31:28-29
Methali 31:28-29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto wake huamka na kumshukuru, mumewe huimba sifa zake. Husema, “Wanawake wengi wametenda mambo ya ajabu, lakini wewe umewashinda wote.”
Shirikisha
Soma Methali 31