Methali 31:22-23
Methali 31:22-23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, yeye huvaa kitani safi na urujuani. Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, aketipo miongoni mwa wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi. Mume wake ni mtu mashuhuri barazani, anakoshiriki vikao vya wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31